.......

MPENZI MPYA WA WEMA SEPETU AFUNGUKIA PENZI LAO

‘Model’ anayedaiwa kuchukua nafasi ya Idriss kwa kutoka kimapenzi na mrembo Wema Sepetu, amejikuta akiweka hadharani mahaba yake kwa mrembo huyo kwa kutoa maelezo yanayothibitisha kuwa hivi sasa yeye na Wema ni wapenzi.
Share on Google Plus

1 comments: