.......

ROSE NDAUKA AZINDUA LEBO YA "NDAUKA MUSIC"

 
STAA wa filamu Bongo,  Rose Ndauka, kupitia kampuni yake ya Ndauka Adverts Ltd, leo amezindua  lebo ya muziki iitwayo Ndauka Music ambayo itatoa fursa kwa wanamuziki nchini, hususan wanaochipukia,  ili kujitangaza.
Share on Google Plus

0 comments:

Post a Comment