.......

"SIMJUI BABA YANGU" - RAMMY GALIS

Msanii wa filamu nchini Rammy Galis amefunguka na kusema kuwa historia ya wazazi wake kidogo ni changamoto na kudai kuwa katika kipindi chote cha maisha yake hajawahi kumuona wala kuonana na baba yake mzazi.
Share on Google Plus

0 comments:

Post a Comment